Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji16][emoji16]
Okay ukisikiliza na earphone ndio kabisa the way Ariana ana whistle inanogesha 😀😀
😂😂😂😂Ukuje leo mpendwa ubwabwa na njegele.Ulifaidi sana natamani ningekuja kudoea 😜😜
😂😂😂😂Ukuje leo mpendwa ubwabwa na njegele.
paka mafuta ya baby care kisha vaa soksi yanalainisha ngoziJamani Nina tatizo la ngozi Naomba kujua Tiba yake ngozi Ina kakamaa miguu yote ilianza kidogo saiv naona inaongezeka
View attachment 1763039
Ewaaaaa umejuaje nazi lazima iwepo Karibu.Bila ya shaka njegele za nazi. Nitapita huko.
Ewaaaaa umejuaje nazi lazima iwepo Karibu.