Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,789
- 39,513
Ukimaliza kuilinda swaumu utanambiaNgoja nilinde saumu...
Sawasawa..Ukimaliza kuilinda swaumu utanambia
Yap.huwa hata kama ni za mboga mboga au hizo ulizopika leo...basi nikizipika bila kuweka mafuta kwenye pan huwa nazifurahia sana naweza kula zaidi ya moja bila kuzikinai ..👈👈👈🤛🤛🤛🤛Unaweza. Km pan cakes. Ila pan cakes ni za sukari na maziwa. Unaweka mafuta kwenye mchanganyiko wako kdg tu lkn.
Aiseh ni tabu tupu.mimi kuna wakati najiulizaga hivi mimi napendaga nini hasa maana nashindwaga kujielewa wakati mwingine.agggrrrrWewe km mimi. Hivyo ht nikitoka kwenda kutembea basi ni kwa sababu ya wtt tu. Ila mwenyewe napenda kukaa ndani sn
Umeandika kwa kiinglish ili baadhi ya wanajukwaa wasielewe au lengo ni nini
Sahihi kabisa