D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
URAIS
Baada ya kutafakari na kushauriana na rafiki zake, Mheshimiwa Mkapa kwanza alimwambia mama Anna juu ya kugombea Urais. Mama Anna alisita kidogo ila akakubali. Pili alimueleza Mwalimu kwa barua kwani alikuwa Butiama, kisha akukutana nae ana kwa ana.