D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Nne, anagusia mwendo wa goigoi katika kuimarisha Jumuia ya Afrika Mashariki (EA). Sioni juhudi kubwa, naona siasa tu, watu wamepoteza picha kubwa –Big Picture.