Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
la mujer de mi vida nisamehe auntie wangu maana wiki nzima nakwambia kuhusu restaurant mpya basi bana hii marriage lyrics ni ya kulaumiwa kumbe episode ya tisa kuna mtu alikumbuka ya nyuma sasa yeye kakumbuka basi director wa movie akairudisha yote nyuma yaan wahusika wote wakarudi kwenye kumbukumbu za nyuma ndio maana nikaona mbaba aliyekufa episode ya tano kawa mzima ya tisa wakati hakuna ndugu yake humo mwenye kusema akumbuke ya nyuma bali ka mdada tu kamoja ka njian kakakumbuka matukio yake ya nyuma na director akawarudisha wahusika wootee matukio ya nyuma.
drama husika niliishia episode ya 8 kissiassia nikavuta ya tisa toxic. ikanichanganya nikarudi kissiassian leo nikakuta ni vile vile.
conclusion toxicwap ina mb chache ila drama ni ile ile episode nzima ya kissiassian bila kukatwasema tu wamepunguza ukali wa mb
cc mr Qassano