Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1619461379926.jpeg
 
Kanyerere kalikuwa kajanja mno kale kazee. Kanakuchekea tu laivu huku kanakumaliza. Wengi wanaamini inawezekana Karume hakuelewa hasa alichokuwa anakitilia sahihi....
Kuna kitu aligundua atakipata Zanzibar ndio maana akasimamia kwa miguu yote mitatu kuhakikisha anaungana nao. Sio bure bure tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16]. Umenifuma sis....

Nina ushahidi wa hiki nikiongeacho. Hata huyu wifi yako niliyenaye kwa sasa aligota kwa principles hizo hizo. Nilikutana naye kwenye ndege akaniambia "Oh Mr. You smell so good. Where are you from?" Nikamwambia we umekwisha [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwema lakini sis?
😂😂😂
 
la mujer de mi vida nisamehe auntie wangu maana wiki nzima nakwambia kuhusu restaurant mpya basi bana hii marriage lyrics ni ya kulaumiwa kumbe episode ya tisa kuna mtu alikumbuka ya nyuma sasa yeye kakumbuka basi director wa movie akairudisha yote nyuma yaan wahusika wote wakarudi kwenye kumbukumbu za nyuma ndio maana nikaona mbaba aliyekufa episode ya tano kawa mzima ya tisa wakati hakuna ndugu yake humo mwenye kusema akumbuke ya nyuma bali ka mdada tu kamoja ka njian kakakumbuka matukio yake ya nyuma na director akawarudisha wahusika wootee matukio ya nyuma.

drama husika niliishia episode ya 8 kissiassia nikavuta ya tisa toxic. ikanichanganya nikarudi kissiassian leo nikakuta ni vile vile.

conclusion toxicwap ina mb chache ila drama ni ile ile episode nzima ya kissiassian bila kukatwasema tu wamepunguza ukali wa mb

cc mr Qassano
How lovely Miss Vicenzo, Unajua hata mimi niliwaza labda kuna mtu alikuwa anayaota ya nyuma ndio maana ukaona vimejirudia.....nilibanwa kidogo na mimi nilitaka nilete mrejesho wa casssno kuwa niliikuta kama ulivyosema kwa ep1


Mr.queen is so hoot😆

#Toxicwamekusamehe
#Wamekupa_AmbassadorFlag😅
 
How lovely Miss Vicenzo, Unajua hata mimi niliwaza labda kuna mtu alikuwa anayaota ya nyuma ndio maana ukaona vimejirudia.....nilibanwa kidogo na mimi nilitaka nilete mrejesho wa casssno kuwa niliikuta kama ulivyosema kwa ep1


Mr.queen is so hoot😆

#Toxicwamekusamehe
#Wamekupa_AmbassadorFlag😅
awesomeee🥰🥰🥰

mr queen ni tamu hasa vituko vya queen mwenyewe na mapishi yake bado bonge la romance ndani yake

#nimejiwahimapema
#toxicidumu
 
Kwanza, wafanyakazi hutoa mbegu hiyo ambayo ipo kama maharagwe, na kukaushwa kwa kipindi cha siku 3 hadi 10 kabla ya kuwekwa chini ya jua. Kisha mbegu hiyo inachomwa, na kusagwa na sukari na wakati mwingine maziwa ya unga hadi mchanganyiko huo utakapokuwa laini kabisa.
 
Kipindi cha ukaushaji ndio uchachishaji unatokea kwa njia ya asili. Ladha ya chokoleti inajumuisha mengi wakati huo. Uchachishaji ndio kipindi ambapo thamani yake huimarishwa kupitia vijidudu, na hapo ndio kakao ambayo ni chungu kawaida hubadilika na kuwa yenye ladha.
 
Back
Top Bottom