Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipenzi chang edita sikia nikupe ya moyon
Sema kwel nmechoka na tabia yako
Ni siku nying nmeelezwa meng nmepuuza nilijua fitia za majiran wanataka kututenganisha ehh
Lakin leo nmeamin kipenz methal ya kiswahili inasema lisemwalo lipo
Nikirud kazin sikukuti nikiuliza unasema ulikuwa kwa shangaz kariakoo kumbe unawako wa pemben mpenz edita
 
Back
Top Bottom