Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji120][emoji120]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongereni wakulima wote..
Kilimo ki aendelea kwa jina la jamuhuri ya Tanzania [emoji120][emoji120]
FB_IMG_1611310026838.jpg
 
 
babu, wanifahamu nje na ndani.
shikamoo mzee wangu wa JF
Naam...
Marahaba,heri ya mfungo.
Sijazeeka kizembe mjukuu wangu.

Ile tamthilia ya Kichina nimeipata jina japo kwa taabu sana.
Inaitwa Jin Tai Lang au Happy life, sasa kwa uzee huu macho hayaoni wapi pa kuipakua kwa matumizi ya bibi yako.

Nasubiri maelekezo kijana wangu.
Iftari njema [emoji120]

Esta
Nigendako
The Happiness
 
Back
Top Bottom