moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
😂😂😂😂😂😂Wote wawili hawana maajabu ila mmoja ndo hana kabisaaa hadi ufito wa nguo umepitiliza magoti... Mungu amejaa maajabu
😂😂😂😂😂Vibaka wa pande za huko wamevuka mipaka
Kufuli lililo tumika kulinda lina bei kubwa kuliko taa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vibaka wa pande za huko wamevuka mipaka
Like for Likers. Uzi mnene na toshelevu. Gongs like kisha nijulishe nijeUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.