Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mei 2 1997 Tony Blair aliingia 10 Downing Street akiwa Waziri mkuu wa kwanza wa Labour baada ya miaka 20. Matokeo ya ushirika na Gordon Brown kuleta mabadiliko. 2007 Blair akaachia ngazi kuheshimu mkataba wao baada ya kuvutana. Brown akawa Waziri mkuu. 2010 Labour ikashindwa.
 
Kikundi cha baadhi ya askari wa kukodiwa wakizungu wakihojiwa baada ya kushindwa jaribio la kuipindua serikali ya kijamaa ya Rais Albert Rene 1981. Waliingia kama watalii mpango ulioandaliwa na Afrika Kusini kwa lengo la kumrudisha madarakani Rais wa zamani bepari James Mancham.
1619903942150.png
 
Back
Top Bottom