Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tanzania: Kwa mujibu wa sheria ya ndoa mwaka 1971, Ndoa inawezwa kuvunjwa ikiwa mmoja wa wanandoa atachepuka angalau zaidi ya mara moja. Ikiwa amechepuka mara moja tu, Ndoa hiyo haitavunjwa na uvumilivu utapaswa kupewa nafasi.

Chanzo: Avis Legal
Hii nadhani inawahusu waliooana kiserikali au kimila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…