Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Don Karkos alipoteza uwezo wa kuona baada ya kupigwa na kitu kichwani kwenye vita kuu ya pili ya Dunia. Miaka 64 baadae alipigwa teke na Punda kichwani akaanza kuona tena!
AiseeKubusiana' (Kissing) husaidia pia kupunguza tatizo la meno kuoza.
Hongera sana mkulima..
Sawasawa..Kabla hujamuomba Mungu akupe kiatu mshukuru kwanza kwa kukupa mguu wa kuvaa hicho kiatu.
He!! Wapi hukoKila mtu ni kinyozi!
Wapi afande fulani 😂😂Hakuna utafiti wowote unaothibitisha kuwa matumizi ya Bangi huathiri ukuaji wa seli za ubongo. Baadhi ya tafiti zinaonesha matumizi ya Bangi huongeza ukuaji zaidi wa seli za ubongo.
Vyanzo: Heathline, Webmd, MIT..