moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hongereni wakulima wote..
Ni tamu sana mpendwa.Juice ya bungo ukisaga kwenye mashine unachanganya na tunda zake mpendwa.
Au itakuwa ni madhara ya vita!Nilisoma Ihungo miaka ya 60 palikuwa hivyo hivyo japo palikuja kufanyiwa mabadiliko kidogo. Nikapita tena miaka ya 80 nikapakuta pako vile vile. 2010 nilipita huko tena nikakuta kumezidi kuharibika. Sijui hata tatizo ni nini yaani!
Shemeji ya huku yabaki huku huku [emoji3][emoji3][emoji3]We jamaa wewe. Nakwenda kukushtakia kwa Kabula [emoji16][emoji16][emoji16]
Ze don mimi mwenyewe nimemnyamzia tu hapo kwenye 60 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ihungo miaka ya 60!?
Mzee wangu shikamoo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Za hatari...kama Cowboys zamani
Ila we kikongwe unanishangaza sana [emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Marahabaa [emoji123][emoji123][emoji123]
Yeah! Ihungo ilianzishwa mwaka 1947 na sisi tuliikuta bado ina upya upya kwa vile ilikuwa inatunzwa vizuri sana enzi zile. Kilimani pale palikuwa pazuri sana kwa kweli. Ila miaka imekimbia kwa kasi mno dah!
Aisee "Kwani kifo nini....Sikuondoka Duniani kuhamia huko kwingine "😂😂😂Kuna vifo vingine mwanadamu anasimangwa kimakosa sana,yaani mtu anafia juu ya kiuno cha huyu mrembo, watu from no wea wanaanza mikelele miiingi... "oo mtu mzima tena mzee wa kisukari hajiheshimu, ameparamia pasipo paramika matokeo yake kakata moto..."
Jamanii... Nani kasema hatuwezi kuparamia "miamba ya moto!"
Siku ya kufa ni moja tu, dude kama hilo likipita mbele yangu, likafanya makosa ya kiufundi, likanichekea.... Kwani kifo nini... Si ni kuondoka duniani na kuhamia huko kwingine.
Ila Mungu fundi jamani, kizazi hiki kipya kivivuvivu kakibarikia kila kitu cha mvuto. Ila hakina shukurani, kucha kuchwa kubana mambupu yao na vinguo vya wadogo zao hadi wanapoteza hadhi ya kuitwa wanaume.
Natamani, natamaniiii...
Mwanadamu nimeumbiwa tamaa.
Tamaa nimeishinda
Ila huyo mdada kaninyong'olesha imani yangu.
Mpendwa umefika [emoji134][emoji134]Aisee "Kwani kifo nini....Sikuondoka Duniani kuhamia huko kwingine "[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anatupelekea moto siyo wa kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ze don mimi mwenyewe nimemnyamzia tu hapo kwenye 60 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ile comment imenichekesha sana kumbe unapenda Vinono kama Simba ya Buyenze.Mpendwa umefika [emoji134][emoji134]
Lakini inakuwa tunataniana na shemeji yangu tu....
Heri ya mfungo mama [emoji120]