myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mvua maeneo mengi ya nchi....Mvua ya kutosha
Nashukuru bro, tumeshaingia kumi la mwisho.
Nakutakia kila la kheri kwenye Laylatul Qadir bro.
[emoji120][emoji120]Wakulima wote tunawapa pongezi sana..
[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji120]
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima