Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1620111682863.jpg
.
 
Nilisoma Ihungo miaka ya 60 palikuwa hivyo hivyo japo palikuja kufanyiwa mabadiliko kidogo. Nikapita tena miaka ya 80 nikapakuta pako vile vile. 2010 nilipita huko tena nikakuta kumezidi kuharibika. Sijui hata tatizo ni nini yaani!
Heshima yako Bro! maana nimeona shikamoo haitoshi sasa 😀😀
 
Asalaam Alyeikum.
Habari za mfungo bro.

Mzee SHIMBA YA BUYENZE ametuchomolea betri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Waa'alyequm salaam bro, mfungo tunaendelea nao...kwema hapo bro? Ni matumaini yangu kuwa mfungo utakuwa unaenda salama pia hapo...


Mzee Shimba hatari sana [emoji23][emoji23]
 
Ndugu zangu. Ya nini tuandikie wino na mate yapo? Nitakuwa nyumbani Misungwi Julai hii. Ye yote atakayependa nitakuwa tayari kuonana naye (isipokuwa Esta wa anonimazi foreva). Andaeni tu shikamoo za kutosha. Umri umeenda kwa kweli si mchezo. Tumshukuru Mungu Wapendwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sawa mzee wangu, nmepokea mwaliko wako
 
Back
Top Bottom