andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Wanasiasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dah [emoji23][emoji23]..miaka kati ya 45-51??Marahaba mwanangu. Wewe likely uko between 25 - 31. Ni wazi nakuzidi miaka kati ya 45 - 51.
Nipo Mwanza siku hizi, Mwanza na Misungwi ni karbu sana, haina shida mzee wangu, tunaonana tu, kikubwa uzimaGeita, Sengerema mpaka kwako Kahama nitafika. Twaweza onana ukipenda bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nipo Mwanza siku hizi, Mwanza na Misungwi ni karbu sana, haina shida mzee wangu, tunaonana tu, kikubwa uzima
Tubanane humuhumu kwenye u sis 🤣🤣Jamani sis [emoji16][emoji16][emoji16]
Au tutoke tu kwenye u sis tuhamie kwenye u daughter na dad (not daddy!)