ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
[emoji120][emoji120]Amin Bro... Ikawe kheri pia na wewe kwenye usiku wa Laylatul Qadir
Nuzulati ndugu,Ningendako ndugu,Moudy ndugu,daemusin ndugu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu gani tena jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nauona undugu wa faida hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nuzulati ndugu,Ningendako ndugu,Moudy ndugu,daemusin ndugu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaliko nimeupokea rasmi kwa mikono miwili. Tuombe uzima tu. Tena sote wawili tutakwenda kwa mzee wa Mwakaleli moja tukatandike ugali huko. Itakuwa safi sana. Na tutawawekea wanajukwaa hapa picha kabisa wajionee. Mhenga senior na wahenga juniors [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870]Ukifika Misungwi, baada ya mapumziko ya wiki moja huko Usukumani "nakualika" Dar es salaam kwa matembezi.
Huu ni mwaliko rasmi kwako kupitia hapa jukwaani.[emoji120][emoji120]
Marahaba mwanangu. Wewe likely uko between 25 - 31. Ni wazi nakuzidi miaka kati ya 45 - 51.Dah! Miaka ya 60 ulikua tayari Sec. school!?
Shikamoo mzee SYB [emoji51]
Jamani sis [emoji16][emoji16][emoji16]Heshima yako Bro! maana nimeona shikamoo haitoshi sasa [emoji3][emoji3]
Geita, Sengerema mpaka kwako Kahama nitafika. Twaweza onana ukipenda bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23] mzee mwenzenu ni wa kuwa nae makini sana hasa linapokuja suala la miaka
Mahabusu wote waachiwe!Kituo cha polisi Ifakara hali ndiyo hiyo View attachment 1773197
Ulimuomba nani?View attachment 1773201
Hakuyatelekeza bana. Kodi ilimshinda baada ya kushindwa kupita njia za upenyo. Molasses hiyo imeharibikia hapo hapo bandarini!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nauona undugu wa faida hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Marekani ni hivyo hivyo. Kabla hujaingia mahabusu unavuliwa nguo zote. Halafu unakoga ndo unapewa magwanda rasmi!
Waziri wa wizara gani huyu?
Kuna vitu vingi sana vinavyofanya maisha yawezakane hapa duniani. Inashangaza sana!