Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hata hivyo amechelewa kuingia Dar,Mpendwa ametoka mbali halafu mechi haichezwi tena
Lowassa na wapambe wake wajifunze kitu hapa.
Aliumwa tumbo Gairo, nadhani kwa sababu ya maji.Yule mwanariadha aliyetoka Kigoma sijui anajisikiaje na aliumwaga tumbo njiani [emoji23][emoji23]
Yule mwanariadha aliyetoka Kigoma sijui anajisikiaje na aliumwaga tumbo njiani ππ