myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Iwe siku yenye amani na utulivu..
AiseeDaemusin aka Jurgen Klopp, tafuta hiki kitabu upate ushuhuda wa kile nilichowahi kukueleza kuhusu usaliti wa mwendazake (Maalim) View attachment 1778209
Mechi ya simba na yanga ni kubwa ndo maana hata serikali iliona kitabu kitadoda wakaingilia kati. karne na karne mechi za watani wa jadi huwa ni tukio kubwa mno
Hata mimi nilijua ushindi ni wetu ila, Kwa walichotufanya jana mancty nastaafu kuishabikia kwanza☹😒😒The Happiness, Leo tumepigwa. Tulijiandaa tuchukue ubingwa wetu leo, Hawa Chelsea hawana adabu walahi 😅😅... Numbisa hebu pita. hivi.
Dooh!
Aleikum salaam🖐️Asalaam Alyeikum
Dah..Lowassa na wapambe wake wajifunze kitu hapa.
Miaka 10 unamwaga pesa upate urais, unatumia vyama viwili tofauti na bado unaukosa
Kilomita elfu moja na ushee.. Ni kweli?Kutoka Kigoma akikimbia, jioni hii ameingia Dar View attachment 1777799