Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nmechoka kwel nasema
Nia na madhumun yako nmeshayatambua siwema mama
Nilidhan nmepata mpenzi wa kwel kumbe nmepatikana na mambo ya ajabu
Unajitapa mbele ya rafiki zako kuwa mm sina kauli kwako
Kwel wema wangu ndio ulioniponza n makosa yang
Nmezunguka tanzania bara unguja na pemba nmefika
Nmewaona warembo wenye sifa walioumbwa wakaumbika sibabaishwi na sura aah napenda tabia njema ahh
 
Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom