Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawa ni simba wawili maarufu wala watu kutoka eneo la Tsavo nchini Kenya, Afrika Mashariki ambao waliwaua na na kuwala wafanyikazi wa reli kutoka nchini Uingereza waliokuwa na asili ya Kenya -Uganda mwishoni mwa karne ya 19 .
 
Sanamu ya simba hao ilinunuliwa kutoka kwa Patterson na makavazi ya historia ya Marekani iliyopo mji wa mwaka 1925 na kuhifadhiwa kama vituo asilia vya kudumu.
 
Luteni kanali Patterson aliripoti kuwa simba hao waliwaua na kuwala takribani wafanyikazi 135 wakiwemo waafrika weusi, Lakini makavazi inayohifadhi mabaki yao baadaye ilisema watu waliouawa walikuwa karibu 35.
 
Ni sehemu ya jiwe kubwa lenye maandishi juu yake ambayo yamewasaidia watafiti kujifunza jinsi kusoma kuhusu mifumo ya kuandika nchini Misri uliotumia picha na ishara.
 
Haijulikani vile jiwe hilo liligunduliwa mwezi Julai mwaka 1799 lakini kuna imani kuwa liliguduliwa na wanajeshi waliopigana na kiongozi wa jeshi la Ufaransa Napoleone Bonaparte wakati wakijenga kwenye mji wa Rashid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…