A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,181 Hii ni sanamu maarufu la kuchongwa la Malkia Bagwa kutoka inayojulikana sasa kama Cameroon mwishoni mwa karne ya 19.
Hii ni sanamu maarufu la kuchongwa la Malkia Bagwa kutoka inayojulikana sasa kama Cameroon mwishoni mwa karne ya 19.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,182 Sanamu hilo lenye urefu wa inchi 32 au (sentimita 81) linaashiria madaraka na afya ya watu wa Bangwatall Bangwa.
Sanamu hilo lenye urefu wa inchi 32 au (sentimita 81) linaashiria madaraka na afya ya watu wa Bangwatall Bangwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,183 Ni moja ya sanamu maarufu zaidi Afrika na ina umuhimu mkubwa kwa watu nchini Cameroon.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 May 10, 2021 #1,238,184
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,185 Sanamu zilichongwa na kupewa majina ya wake wa wafalme au wanaufalme na kuitwa Malkia wa Bangwa huko Bangwa.
Sanamu zilichongwa na kupewa majina ya wake wa wafalme au wanaufalme na kuitwa Malkia wa Bangwa huko Bangwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,186 Sanamu ya Malkia wa Bangwa labda ilipewa au kuibwa na wakoloni wa Ujerumani karibu mwaka 1899 kabla ya eneo hilo kutawaliwa na wakoloni.
Sanamu ya Malkia wa Bangwa labda ilipewa au kuibwa na wakoloni wa Ujerumani karibu mwaka 1899 kabla ya eneo hilo kutawaliwa na wakoloni.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 May 10, 2021 #1,238,187
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,188 Vito vya thamani vya Maqdala
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,189 Vito vya thamani ya Maqdala ni pamoja na taji la karne ya 18 na nguo ya harusi vilivyochukuliwa kutoka Ethiopia na jeshi la Uingereza mwaka 1868.
Vito vya thamani ya Maqdala ni pamoja na taji la karne ya 18 na nguo ya harusi vilivyochukuliwa kutoka Ethiopia na jeshi la Uingereza mwaka 1868.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,190 Wanahistoria wanasema ndovu 15 walihitajika kubeba vifaa vilivyoibwa kutoka Maqdala.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,191 Waingereza walivamia Maqdala kupignha kutwalia kwa ubalozoi wao wakati uhusiano kati ya pande hizo ulidorora.
Waingereza walivamia Maqdala kupignha kutwalia kwa ubalozoi wao wakati uhusiano kati ya pande hizo ulidorora.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,192 Ndege wa Zimbabwe
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,193 Vinyago nane wa ndege wa Zimbabwe waliibwa kutoka mahame ya mji wa zamani.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 May 10, 2021 #1,238,194
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,195 Ni ndege nane waligunduliwa. Walikuwa kwennye kuta za mji wa kale uliojengwa kati ya karne ya 12 na 15 na wahenga wa watu wa Shona.
Ni ndege nane waligunduliwa. Walikuwa kwennye kuta za mji wa kale uliojengwa kati ya karne ya 12 na 15 na wahenga wa watu wa Shona.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 May 10, 2021 #1,238,196
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 10, 2021 #1,238,197 Saba kati ya vinyago hao walikuwa nchini Zimbabwe tangu mwaka 2003 wakati mmoja alirudishwa kutoka Ujerumani.
Saba kati ya vinyago hao walikuwa nchini Zimbabwe tangu mwaka 2003 wakati mmoja alirudishwa kutoka Ujerumani.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 May 10, 2021 #1,238,198
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 May 10, 2021 #1,238,199
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 May 10, 2021 #1,238,200