Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kuna wasukuma wavumilivu,waungwana,wakarimu ila pia wapo wenye ile roho aisee sio kabisa.

kuhusu ushamba hawaonewi. ukikutana na mshamba ni mshamba balaaa. Juzi nimepanda daladala,kijana mmoja tu wa miaka 25 kapanda kumbe kakosea daladala kashika elfu arobain mkononi anabishana na konda asimchezee ampeleke anapoenda kwa yeye wa mjini na ana hela hata kama ni mara yake ya kwanza kufika mwanza. Yaan tangu azaliwe hajawahi panda bus kuja mjini alikua huko vijijin sasa kapata ka hela kaona aje kusalimia ndugu ila kuuliza watu kashindwa ile ujuaji akaona apande daladala lolote liwalo na liwe. Hadi nashuka bado anabishana na konda na ile lafudhi ya kisukuma konda akabaki kucheka
 
dah! basi hao jamaa hawana utofauti na wakojani kwa ubishi.
vipi kuhusiana na uchapaji kazi wao?
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Asee[emoji849]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aisome mtani wangu Buyenze atabisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…