Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,789
- 39,513
Hakika ndugu
Hakika ndugu
mchana mwema mpendwa.Wenyeji wampenda sana urojoooo
Mazingira yake tulivu 😂😂
Huwa tunajisahau sana hasa hawa wazee umri ukienda.Hakika ndugu
Ni kweli ndugu tujitahidi kuonyesha wema kwa wazazi wetuHuwa tunajisahau sana hasa hawa wazee umri ukienda.
Kutunza vizuri wazazi ni moja ya mafanikio katika maisha ya mwanadamu,baraka zitakuja mpaka uzikimbie.
Wahindi wanaabudu ng'ombe hivyo wanadhani mavi ya ng'ombe yatawasaidia. Kirusi hiki kila mtu anapambana kivyake!
ok sasa nimeelewa chimbuko la hiyo imani.Wahindi wanaabudu ng'ombe hivyo wanadhani mavi ya ng'ombe yatawasaidia. Kirusi hiki kila mtu anapambana kivyake!
Pole kwao wazidi kumuomba Chiva wao .Wahindi wanaabudu ng'ombe hivyo wanadhani mavi ya ng'ombe yatawasaidia. Kirusi hiki kila mtu anapambana kivyake!
View attachment 1782005View attachment 1782006
Last month nilitimiza miaka kadhaa,sasa wakati nawaza chakufanya siku hiyo,nikapata wazo la fasta kutembelea wazee wangu,maana baba ni mgonjwa wa muda na mother ndio anamuhudumia.Ni kweli ndugu tujitahidi kuonyesha wema kwa wazazi wetu