Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,789
- 39,513
Ukaribie dearπππππππππmpendwa yupo kwenye mfungo halafuuu hadi muda huu hakuna mwaliko wa idd
ahsante sana,Naomba kesho uwe mgeni wangu kojani mpendwa
Usijali nitakutengenezea kekiii nzuri na sambusa plasi juice fresh.ahsante sana,
mimi ni dhaifu sana wa mapishi ya keki na sambusa za nyama
niandalie ya kwangu iliowekwa mayai 30
ubarikiwe,Usijali nitakutengenezea kekiii nzuri na sambusa plasi juice fresh.
ushawahi kufika hicho kisiwa?Naomba kesho uwe mgeni wangu kojani mpendwa
kuwa mvumilivu Agassi, kila jina litatembea kwenye hii account.
ila sitojipa jina la kisukuma
usisahau zamu ya Oppa[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani wasukuma wamekukosea nini hebu fikiria majina matamu kama mabula,maige,shija unayaachaje kwa mfano
shijjaaaaaa (niliwahi kusoma na jamaa mwenye jina hilo chuoni, baadae alikacha na kurudi kwao bara, alikuwa muungwana sana)
bora nijiite makame wa makame.
hapana siwachukii kwa sababu siwafahamu
hivyo natamani nikutane nao hao wasukuma ili nipate kuwafahamu vizuri tabia zao na mfumo wao (je! kweli ni washamba).
mitandao pekee haitoshi kutolea hukumu jamii fulani.
wanaoenakana ni watu wavumilivu sana
kuna wasukuma wavumilivu,waungwana,wakarimu ila pia wapo wenye ile roho aisee sio kabisa.
kuhusu ushamba hawaonewi. ukikutana na mshamba ni mshamba balaaa. Juzi nimepanda daladala,kijana mmoja tu wa miaka 25 kapanda kumbe kakosea daladala kashika elfu arobain mkononi anabishana na konda asimchezee ampeleke anapoenda kwa yeye wa mjini na ana hela hata kama ni mara yake ya kwanza kufika mwanza. Yaan tangu azaliwe hajawahi panda bus kuja mjini alikua huko vijijin sasa kapata ka hela kaona aje kusalimia ndugu ila kuuliza watu kashindwa ile ujuaji akaona apande daladala lolote liwalo na liwe. Hadi nashuka bado anabishana na konda na ile lafudhi ya kisukuma konda akabaki kucheka
dah! basi hao jamaa hawana utofauti na wakojani kwa ubishi.
vipi kuhusiana na uchapaji kazi wao?
π π π π π
Asee[emoji849]
kwenye uchapakazi ni kama watu wengine tu unaweza kuta wenye bidii na wavivu. wengi wapo zaidi kwenye kilimo,msukuma na kilimo bila kusahau ufugaji ni sawa na mzenji kwa ulojo
wa kwangu mimi utaambatana na gharama kubwa, utoke huko waliko wasukuma kwa ajili ya vipande vya keki, vileja, donas n.k
labda ndio utuonyeshe huo ukaidi wa kisukuma
Mshindweeeee [emoji51][emoji51][emoji51][emoji23][emoji23][emoji23]Aisome mtani wangu Buyenze atabisha.
babu samahani sana, nimekoseaMshindweeeee
Akili yako imeshajijenga kwamba unajuasiwezi kusoma kwa uhuru au kusikiliza jambo ambalo nimeshalifahamu.
kiukweli mpaka sasa sijapata jawabu (hii tabia ninayo muda mrefu sana)
- sijajua kama hii ni roho mbaya dhidi ya wenzangu (labda nataka jambo nilifahamu mimi peke yangu)
- au ni khofu juu ya kilichoandikwa, labda naogopa kudanganywa
kwa mfano hizi thread naogopa kuzisoma kwa umakini (nimezipitia haraka haraka kama nafukuzwa na mbwa )
Bila kusahau mpendwaThe happiness namualika pia.ubarikiwe,
kwenye mualiko muongezee huyo binti wa kisukuma anayeitwa Numbi
huko kwao ni rahisi sana kumshuhudia mvuvi wa samaki kuliko mpishi wa kek
huyu hapa ni mroho sana, hivi alishawahi kukualika sembe lake japo siku moja?Bila kusahau mpendwaThe happiness namualika pia.
Ndio nimefikaπushawahi kufika hicho kisiwa?
au umechumb
utani wa ngumi
πππππππππ
mazingira ya kisiwa chao umeya tathmini vipi?Ndio nimefikaπ
wow asante sana mpendwaUkaribie dearππ
πππππππππAisome mtani wangu Buyenze atabisha.
Wenyeji wampenda sana urojoooomazingira ya kisiwa chao umeya tathmini vipi?
mtego huooo