Malchiah
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 1,959
- 20,733
Aisee
Dah..Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu Joseph Sokoine ni mtu poa sana kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake. Uteuzi wake umenifurahisha sana.
Dah..
Kazi za kuteuliwa especially na wanasiasa zina karaha yake.
Kuna yule anaitwa Dr matarajio naye ashaonjeshwa shubiri sana
Kabisa mkuu..Sana Mkuu na Matarajio ana uvumilivu wa hali ya juu na alifanya la maana sana kuiacha familia yake majuu.
Poleni mlio sokoni na dukani
Kabisa mkuu..
Huwa nashangaa kwa nini hajarejea US
Inasikitisha
Nimeona video dah inasikitisha kwakweliAcha kabisa aisee. Kuna watu dunia hii wanapitia udhalimu wa kutisha. Nimefurahi kuona baadhi ya waandishi Wazungu wameanza kuisemea hovyo Israel na mauaji yake ya kutisha. Sijui kama italeta ahueni. Kuna jengo moja ambalo Associated Press na Al Jazeera walikuwa wanalitumia kama ofisi yao wamelipiga mabomu hadi kuliangusha ili udhalimu wao usionyeshwe duniani.