Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nafikiri kwa sasa Mke, yeye na watoto wameridhika na huu utaratibu lakini ule wakati alipowekwa benchi kwa kusingiziwa kwamba ametoa zabuni kwa kampuni iliyokuwa imemuajiri kule USA na wakamnyang’anya passport yake kilikuwa kigumu sana kwa familia.
Kabisa mkuu..

Huwa nashangaa kwa nini hajarejea US
 
Acha kabisa aisee. Kuna watu dunia hii wanapitia udhalimu wa kutisha. Nimefurahi kuona baadhi ya waandishi Wazungu wameanza kuisemea hovyo Israel na mauaji yake ya kutisha. Sijui kama italeta ahueni. Kuna jengo moja ambalo Associated Press na Al Jazeera walikuwa wanalitumia kama ofisi yao wamelipiga mabomu hadi kuliangusha ili udhalimu wao usionyeshwe duniani.
Inasikitisha
 
Nimeona video dah inasikitisha kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…