Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Not for the faint of heart [emoji39][emoji39][emoji39]
Tumblr_l_563933175651176.jpg
 
Kesho njoo mahali panaitwa "Uwakiki" ufurahie kufungwa Simba bao 4 na ushindi wa bao 4 wa Liverpool
Sare sare maua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nimefurahiiii

Hiyo sehemu siijui bhana, si unajua mm mgeni.

Ileje Waenda lini??
Kama una rafiki zako wafanyabiashara wa nafaka hasa mahindi, kule ni sehemu nzuri ya kujumua.
Yameshuka bei sana hadi natamani ningekuwa nafanya hiyo biashsra.
 
Yanauzwaje sasa mkuu?
 
Back
Top Bottom