antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Good night. Give thanks for your many blessings and watch your worries fly away.
Sare sare maua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho njoo mahali panaitwa "Uwakiki" ufurahie kufungwa Simba bao 4 na ushindi wa bao 4 wa Liverpool
Yanauzwaje sasa mkuu?Sare sare maua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nimefurahiiii
Hiyo sehemu siijui bhana, si unajua mm mgeni.
Ileje Waenda lini??
Kama una rafiki zako wafanyabiashara wa nafaka hasa mahindi, kule ni sehemu nzuri ya kujumua.
Yameshuka bei sana hadi natamani ningekuwa nafanya hiyo biashsra.