BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Inaelekea kwa habari ya uchaguzi, SASHA is not in charge..
Siamini Kama naye anaunga mkono kura feki na mapanga juu🙄
Mastaa wawili walifanikiwa kwenye michezo miwili tofauti.
Acha
Ni kawaida. Lugha ziko hivyo. Mara ya kwanza nimeona "Jamba Juice" kule USA nilishangaa sana. Ila kiboko ni "Mavi Juice" ya kule Mexico. Niliiona. Nikainunua. Tamu balaa.Mimi nawwaambia ukweri ....
The word "bae", used by many as a replacement for "baby", is the Danish word for "poop."
Siwezi kununua ..Ni kawaida. Lugha ziko hivyo. Mara ya kwanza nimeona "Jamba Juice" kule USA nilishangaa sana. Ila kiboko ni "Mavi Juice" ya kule Mexico. Niliiona. Nikainunua. Tamu balaa.
Ndiyo maana tunasema lugha ni sauti za nasibu na hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya neno (bae) na kitu kinachowakilishwa (poop)...
View attachment 1787734