Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ngoja tusubiri tuone kama atakemea uhuni na udhalimu uliofanywa na chama chake kwa kushirikiana na Tume FAKE ya uchaguzi. Kama hatakemea basi anaunga mkono yote yaliyojiri.
Inaelekea kwa habari ya uchaguzi, SASHA is not in charge..

Siamini Kama naye anaunga mkono kura feki na mapanga juu🙄
 
Mimi nawwaambia ukweri ....

The word "bae", used by many as a replacement for "baby", is the Danish word for "poop."
Ni kawaida. Lugha ziko hivyo. Mara ya kwanza nimeona "Jamba Juice" kule USA nilishangaa sana. Ila kiboko ni "Mavi Juice" ya kule Mexico. Niliiona. Nikainunua. Tamu balaa.

Ndiyo maana tunasema lugha ni sauti za nasibu na hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya neno (bae) na kitu kinachowakilishwa (poop)...
 
Siwezi kununua ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…