Riyad Mahrez ameweka historia ya kuwa mchezaji wa pili kutoka Algeria kufika fainali ya UEFA baada ya Rabah Madjer aliefanya hivyo mwaka 1987 akiwa na FC Porto.
Unaweza kwenda mbele ya muda na kurudi nyuma pia (Time Travelling), kwa nadharia za kisayansi inawezekana lakini haijawahi kufanyiwa majaribio sababu haiwezekani kutoka na ufinyu wa teknolojia.
Nchini Korea Kaskazini kuna madini mbalimbali yenye thamani ya dola trilioni 6-10 hayajachimbwa bado. Sababu kuu ni nchi hiyo kutokuwekeza kwenye teknolojia na wataalamu wa kuchimba madini hayo
Katika mlima Everest teknolojia ya 4GLTE inapatikana, iliwekwa na Huawei kwa kushirikiana na mitandao ya simu nchini China, Lengo ni kuhakikisha watu wanaopanda mlima huo wanapata huduma ya intaneti bila tabu yoyote kwa kipindi chote wakiwa wanapanda mlima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.