Katika mlima Everest teknolojia ya 4GLTE inapatikana, iliwekwa na Huawei kwa kushirikiana na mitandao ya simu nchini China, Lengo ni kuhakikisha watu wanaopanda mlima huo wanapata huduma ya intaneti bila tabu yoyote kwa kipindi chote wakiwa wanapanda mlima.