Unyenyekevu siyo kile unachoonyesha kwa
ALIYEKUZIDI:--
PESA
ELIMU
CHEO
UPAKO
UMAARUFU..
Bali ni kile unachokiishi mbele ya ULIYEMZIDI:
Pesa, Elimu, Upako, Cheo, Umaarufu..
Njia pekee ambayo uongozi unaweza kutunzwa Kama uongozi wa watu ni pale ambapo viongozi wanakuwa na sababu ya kuogopa HUKUMU kutoka kwa watu.
J. K. Nyerere