Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 668
- 861
Hivi Basata,TFF na Bashungwa nao wanaweza wakawalaumu Tanesco kwa tatizo la umeme lililopo?
Umezikwa na mkewe bila kuzingatiwa mila na desturi za kabila lake.Duuh!
Sababu?
Bila shaka ni foleni ya LUKU hiyo
SawaNaomba kupewa like nyingiii maana Tanesco nao wameishiwa luku leo