BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Kama una picha ungetuwekea hapa mkuuKisiwa Cha Mnemba, Zanzibar.
Bei ya chumba kwa usiku mmoja huanzia Tzs. Milioni 5.3 na ukomo wa wateja ni 24.
Mafia: Thanda Island' kwa usiku mmoja tu gharama yake ni Tzs. Milioni 57.9 lakini kama una mpango wa kukaa chini ya siku 05, Ikizidi zaidi ya siku hizo bei inaweza kupungua.
Pole na karibu tena broMkuu Maxence Melo ahsante sana kwa kusikiliza ombi langu na kulifanyia kazi ndani ya masaa machache. Ubarikiwe sana Mkuu 🙏🏾
You have been banned for the following reason: SPAM. Your ban will be lifted on Jun 17, 2021 at 9:19 PM.
Pole na karibu tena bro