Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Mbunge ataka uchunguzi mtambo wa kutengeneza barakoa
MBUNGE wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza ameiomba serikali kufanya uchunguzi wa kina wa mtambo wa kutengeneza barakoa ulionunuliwa na Bohari ya Madawa nchini (MSD), kutokana na kutofanya kazi kwa ufanisi.
View attachment 1790421
MBUNGE WA VITI MAALUM, AGNESTA KAIZA.
Akichangia bungeni leo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya,Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa mwaka 2021/22, Kaiza amesema mtambo huo ulinunuliwa kwa dharura na kuigharimu serikali zaidi ya Sh.milioni 600 lakini unazalisha kwa kiwango cha chini.
Amesema mtambo huo ulitakiwa kuzalisha barakoa milioni nne kwa mwezi lakini hadi Septemba mwaka jana ulizalisha barakoa 320,000.
“Mpaka sasa mtambo huu umezalisha asilimia nne ya uwezo wake.Naiomba Serikali ifanye uchunguzi wa kina kuhusiana na ununuzi wa huo mtambo wa kutengeneza barakoa wa MSD,tumenunua kwa pesa nyingi lakini cha kushangaza mtambo huo umekuwa ukizalisha chini ya kiwango," amesema.
Yaani sisi dah!

Hatuwezi kufanya kitu hata kimoja kwa ufanisi, uzalendo na kujitolea. Kila mtu anawaza tumbo lake tu. Tutakaa kweli tuendelee sisi kwa uroho huu wa kila kitu?
 
 
Daughters are a blessing !!!
2.5767350999142912E18.jpg
 
Back
Top Bottom