Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Klabu ya Brighton & Hove Albion imeambia Liverpool na Arsenal itachukua dau la £40m kumsaini kiungo wa kati wa Mali mwenye umri wa miaka 24 Yves Bissouma. (Sun)
Duniani kuna watu wana roho mbaya sana. Shuhudia mtu anaumia roho kwa mtu kupost hapa!!! Ama kweli Mwenyezi Mungu ni mwema sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu ANAKURUPUKA tu na kuassume vile atakavyo yeye bila kuwa hata na chembe ya ushahidi!