Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20210515_182218.jpg
 
bado hivyo wananzengo hawajui wampe lawama nani,enzi hizo lawama zote alikua anabeba mtu mmoja
Nimeona hapa Waziri kacharuka. Wasije wakawa wamedukuliwa. Na kuwafukuza wataalamu kama hawa sidhani kama ni sahihi. Atawapata wapi wengine?

Magenge ya kijambazi ya Urusi huko yanapiga pesa ndefu kwa kudukua mifumo mbalimbali halafu wanakulazimisha uwalipe pesa ndiyo wakuachie. Juzi hapa bomba kubwa linalosambaza mafuta kwa karibia nusu nzima ya Marekani lilidukuliwa na ilibidi kulipa dola milioni 9 ndiyo likaachiliwa.

Mama anapendwa. Lawama zitamwangukia waziri au wataalamu wake wa IT.

400206800494_107243.jpg
 
View attachment 1790875
Mama hapendwi ila anafanyiwa unafiki na kundi kubwa linalomchukia magu. ukiingia kule siasani badala ya kujadili hoja kama uliyoitoa ya udukuaji kwa kirefu watu wapo busy kumlaumu mwendazake na watu wanaowahisi ni kundi la mwendazake wamesahau mama nae ni zao la mwendazake.

kule twita kigunzi busy kulia lia ingekua enzi zile angeshaongelea suala la luku na kujitapa anajua mengi
 
Back
Top Bottom