Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rekebisha viwango vyako:

Moja ya sababu ya kujipa msongo wa mawazo ni kutaka kila kitu kiende sawa kwa kiwango cha hali ya juu. Usijiweke kwenye mtego wa kushindwa kwa kujiwekea viwango vya juu kiufanisi. Jiwekee viwango vinavyowezekana kwako na kwa wenzako na jifunze kukubali matokeo ambayo hayakufika kiwango lakini siyo mabaya.
 
Kubaliana Na Yale Ambayo Huwezi Kuyakabili:


Vyanzo vingine vya msongo wa mawazo huwezi kuvibadili wala kuvizuia. Huwezi kukizuia kifo cha mtu wa karibu yako, wala ugonjwa mkubwa, au mporomoko wa uchumi wa nchi. Hapa inafaa kukubaliana na hali ingawa ni vigumu, lakini ni bora kuchukua msimamo huo kuliko kugombana na kitu usichoweza kukibadili.
 
Mama na mama
FB_IMG_1621436735834.jpg
 
Zinafanya kazi kwenye ofisi za Tanesco pekee, na kwa mawakala wachache, mfano eneo nililopo ni mkoani na kwa wakala mmoja tu.. Mkoa mzima... Mambo ya ajabu sana
nimeona folen ndeeefu mno town watu wamechoka balaa ile kusubiri tu
Hizo ni nyingi sana, mimi umekata toka jana, sikuwa najua shida ni nini.. Asante
 
Back
Top Bottom