Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini, siyo vijana waoga akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mifumo ya kijamii isiyoshabihiana na matakwa ya jamii ya Watanzania.
J. K . Nyerere
Wapendwa nawashukuru sana kwa dua zenu, nimefanikiwa kupata umeme asubuhi hii nimekaa siku tatu foleni ilikuwa kubwa sana, ndio naelekea nyumbani.
Nafikir hapa ndio nayaitaji sana maombi yenu.