Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1619020992086.jpeg
 
Mjane wa Marehemu Reginald Mengi, Jackline Ntuyabaliwe ameonesha kutorodhika na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu wasimamizi wa mirathi ya mali alizoacha marehemu mumewe.
Aliandika katika mtandao wake wa Instagram:
''Imetosha.... Ripoti ya matibabu ya Dk Reginald Mengi imeambatanishwa kama ushahidi. Ukweli kwa wale wanaopenda ukweli. Mume wangu alitumia maisha yake yote kama mtu anayeheshimiwa, mwerevu mkarimu na msaidizi kwa maelfu ya Watanzania''. Aliandika Jackline.
Hakuwa mwendawazimu! Unaweza kusema chochote unachotaka na uchukue kila kitu lakini kwa hili nitamtetea mpaka kifo.
Aliandika katika mtandao huo akiambatanisha ripoti ya daktari wake aliyetoa mapendekezo kuhusu afya ya marehemu, kuwa ugonjwa wa kiharusi alioupata haukuathiri uwezo wake wa kiakili.
Mahakama ilisema nini?
Siku chache zilizopita akisoma hukumu yenye kurasa 72, Jaji Mlyambina alisema kuwa wosia wa mwisho wa Marehemu Dkt Mengi ulioandikwa tarehe 17 mwezi Agosti mwaka 2017 haukuzingatia misingi ya kisheria ya uandishi wa wosia.
Katika shauri hilo watoto wa Marehemu Dkt. Mengi walikuwa wakipinga wosia uliodaiwa kuachwa na marehemu baba yao na saini iliyopo kwenye wosia ni tofauti na sahihi nyingine za marehemu na pia kwa wakati huo baba yao hakuwa na uwezo wa kuandika kutokana na matatizo ya kiafya aliyokuwa nayo tangu mwaka 2016.
Watoto wakubwa wa marehemu walidai kuwa wosia uliwabagua na urithi wote aliachiwa mkewe mpya na watoto mapacha na hivyo wosia huo ulikuwa kinyume na sheria kwasababu uliwabagua watoto bila sababu za msingi na za kisheria.
 
Rugemalira na wenzake hali bado tete

Upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mshtakiwa James Rugemalira na wenzake wawili, umeiomba mahakama ya hakimu mkazi Kisutu iliyopo mkoani Dar es salaam kutoa mwongozo ama amri inayofaa juu ya kesi hiyo.

Kauli hiyo imetolewa na wakili wa James Rugemalira, -John Chuma mbele ya Hakimu Mkuu wa mahakama hiyo Huruma Shaidi wakati kesi hiyo ilipofikishwa mahakamani hapo kwa ajili ya kutajwa.

Akiwasilisha hoja zake Wakili Chuma amedai kuwa mshtakiwa James Rugemalira ambaye hakuwepo mahakamani wakati kesi hiyo ilipotajwa, ameiandikia mahakama hiyo maelezo mafupi yanayohusu matukio ya nyuma juu ya shauri hilo, hivyo kuomba mahakama kutoa mwongozo ama amri inayoona inafaa juu ya muenendo wa kesi hiyo.

Baada ya kusikiliza hoja hiyo, Hakimu Shaidi amedai kuwa mahakama iliishatoa mwongozo juu ya kesi hiyo, hivyo haoni sababu ya kutoa mwongozo mwingine.

Aidha upande wa Jamhuri unaowasilishwa na Wakili Mwandamizi Wankyo Simon umedai kuwa, mshtakiwa wa kwanza katika kesi hiyo Habinda Seth bado anaendelea na mazungumzo na ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka juu ya kumaliza shauri lake na hivyo kuiomba mahakama kupanga tarehe nyingine na kwamba upepelezi wake haujakamilika.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Juni 3 mwaka huu kwa ajili ya kutajwa.
 
Kitu inaitwa SPAM nilikuwa hata sijui ni kitu gani Maxence ndiyo akanielewesha. Ni network inakuwa very slow sijui kama ni JF au yangu. Ukipost jumbe unaona haijaenda basi unabonyeza ile button ya send/post maybe few more times matokeo yake you post the same post more than once. Thanks God Maxence ni muelewa akanielewa ombi langu hivyo kibano cha mwezi nzima hadi June 17 kikaishia kuwa cha siku mbili tu. Thanks 🙏🏾 for asking VE 🌹🌹🌹

You have been banned for the following reason: SPAM. Your ban will be lifted on Jun 17, 2021 at 9:19 PM.
VE ulipigwa ban kwa nini?
 
Sawa nimeelewa
 
Hatahivyo Man United iko tayari kumuuza mashambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 25, pamoja na mshambuliaji wa England Jesse Lingard - ambaye yuko kwa mkopo katika klabu ya West Ham kama njia ya kumleta Kane katika klabu hiyo.. (Football Insider)
 
Manchester United huenda ikawasilisha ombi la kumnunua mshambuliaji wa Southampton na England Danny ings ,28 , mwisho wa msimu ili kuimarisha safu ya mashambulizi ya mkufunzi Ole Gunnar Solskjaer.. (Telegraph - subscription required)
 
Chelsea imezindua ombi la dau la £80m kumnunua mshambuliaji wa England na Borrusia Dortmund Jadon Sancho , lakini klabu hiyo ya London inakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa Man United kumnyakua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21.. (Sun)
 
Back
Top Bottom