Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndiyo hivyo VE sina jinsi bali kucheza mbali na mdudu SPAM lol!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndiyo hivyo VE sina jinsi bali kucheza mbali na mdudu SPAM lol!
Mwambie akupa shavu bro.mzee ni mbahili sana
ana connection lakini ni ngumu kukusaidia (vijana wengi amewapotezea mtaani kwake)
alikuwa daktari mkuu wa balozi seif ali iddi(makamu wa pili wa raisi mstahafu)
yeye ndiye mkuu wa hospitali za zanzibar kwa sasa(kama nitakuwa sahihi)
anaishi mwembe tanga
hatua kadhaa kabla hujafika mtendeni
Mmmh[emoji849]Hii ni kweli?View attachment 1792060
Mwambie akupa shavu bro.