Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwili kushindwa kuondoa sumu mwilini

Ambazo sumu hizo zikibaki zinafanya ogani nyingine za mwili kushindwa fanya kazi ipasavyo.
 
uzito mkubwa

Huu hutokana na vyakuwa vya mafuta tunabyokula na kutofanya mazoezi kuondoa mafuta hayo, kutopata choo ipasavyo na ulaji wa chunvi nyingi na vitu vya sukari nyingi kama ice cream, chokleti nk.
 
unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara

Hivi huchangia kuongeza sumu mwilini kwa kiwango kikubwa na pia huaribu ufanisi wa kazi ya baadhi ya ogani mwilini.
 
Kuchunguza afya yako mara kwa mara hasa unapokuwa hujisikii vizuri, pia kutokupuuzia maumivu madogomadogo ya mwili.
 
MAGONJWA HATARISHI UNAYOWEZA PATA KWA KUTOKUWA NA AFYA BORA...

Magonjwa ya moyo...

Kisukari...

Tezi dume
 
Wekeza Kwenye Afya yako sasa na hata kama ishaathirika na magonjwa hayo ipo njia ya kuweza kukusaidia kurudisha afya kutegemea na kiasi gani umeathirika , hivyo usikate tamaa tafuta afya yako nayo utaipata.
 
Kujua namna ya kutunza afya yako hasa kwa wakati huu ambao kupata vyakula na namna ya kuboresha afya ni changamoto kutokana na mabadiliko ya mfumo wa maisha
 
HAUHITAJI DAWA BALI MABADILIKO YA MTINDO WA MAISHA KUJENGA AFYA BORA NA KUKABILIANA NA MAGONJWA.
 
Hakuna kitu kina kera kama matizo yanayo sumbua watu duniani kwa wakati huu kama maswala ya kutetereka kwa afya na kuandamwa na magonjwa mengi ambayo yanakatisha na kufupisha maisha ya watu wengi na kuifanya dunia kuwa kwenye taharuki na mahangaiko ya namna gani watakabiliana na matatizo hayo ya kiafya.
 
Takwimu za shirika la afya duniani (WHO) zinaonyesha utafiti wake wa mwaka 2000 hadi 2019 kuwa dunia nzima vifo 7 kati ya 10 vilisababishwa na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Hivi vifo saba vinahesabika kwa 44% ya vifo vyote duniani au 80% ya vifo vya kila watu 10 na kwa magonjwa yote yasiyo ya kuambukiza yanahesabika kuwa 74% kwa vifo vyote duniani.
 
Hivyo wana sayansi na wachunguzi mbalimbali wanajaribu kuchunguza tatizo ni nini na watu wafanyeje kujitoa katika matatizo ya kiafya au kutoingia huko kabisa na wale waliotoka huko wasirudi kabisa.
 
Back
Top Bottom