Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

  1. yeye hanijui, nimemfahamu kupitia kwa rafiki yangu tuliosoma pamoja (wanaishi jirani)
  2. bado hatujaufahamu utawala wa mwinyi eneo la ajira
  3. utawala wa shein ndio ulijaa connection za kijinga jinga eneo la ajira bila ya kusahau kufuatiliwa kijinga na watu wa system, usiombe mzee wako awe na chembe chembe za kisiasa za kipinzani.........umeumiaaaa
Jipenyezi kwa rafiki yako bro akupigie debe
 
FB_IMG_1620882083120.jpg
 
VITU UNAVYOHITAJI ILI KUWA NA AFYA BORA NA KUEPUKA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA

Afya bora ni msingi wa maisha ya kila mtu, ndio kitu ambacho unaweza kukitumia kutabiri mafanikio yako maana kufanya kazi kwa bidiii kufikia lengo ni lazima uwe na afya njema
 
pia watu 8.2 milion wanakufa kwa ugonjwa wa kansa kidunia na wengi wao ni wa umri wa miaka 30 -- 69.
 
CHANZO CHA KUTOKUWA NA AFYA BORA.

Kukaa kwa mda mrefuMfano kukaa zaidi ya masaa 4-6 kunaongeza uhatarishi wa 50% ya mtu kufa kwa ugonjwa wowote na magonjwa mengi pia. Pia wengi wao wakufa na magonkwa ya mshituko wa moyo na magonjwa mengine ya moyo.
 
Ulaji wa vyakula visivyo kamilisha mlo kamiliUlaji wa mboga, matunda na mchanganyiko wa vyakula muhimu ambavyo mwili unahitaji
 
msongo wa mawazo

Mara nyingi ndio chanzo kikubwa cha magonjwa yasiyo ya kuambukizwa na kama mtu kashapata akiwa na msongo wa mawazo ugonjwa ndo unazidi.
 
Kutokupata choo

Hii mara nyingi hutokana na aina ya vyakula tunavyokula mfano vyakula vya ngano. Pia ni kielelezo cha kutokuwa na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ambao upo sawa.
 
Back
Top Bottom