Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Weeknd ana sauti nzuri sana. Huyu jamaa akiendelea hivi basi sioni wa kushindana naye labda Khalid. Hiyo gari nyekundu aliyokuwemo ilikuwa inaendeshwa na KE nilidhani ni Ariana Grande hivyo naye angeshuka wafanye yao. Ingekuwa ni balaa.
Ana sauti nzuri sana, dah huyo angekuwa Ariana ashuke halafu waimbe wote sipati picha 🤩🤩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…