Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Poleni mlio safarini, Tunawaombea mfike salama...

Poleni mliotoka kazini., mapumziko mema

Mnaoendelea na kazi poleni sana....

Poleni wa sokoni na dukani...

Poleni wa daladala na bajaji...Uhai ni muhimu sana, chunga barabarani

Wakusoma wote na waalimu wenu hongereni....

Walezi wa familia tunawapa pongezi sana....

Wakulima ndio wanaotupa uhai, hongera wakulima wote...

Mungu awaponye wagonjwa wote🙏🙏

Mungu atupe afya na uzima🙏🙏

Mungu atupe amani 🙏🙏

Kuelekea jioni,..

Amani na upendo jioni yetu
 
Bado tuna safari ndefu sana Mkuu. Na huyu mama namfahamu kwa karibu pia alikuwa hana hizi tabia na siku zote wote wanaomfahamu walimmwagia sifa tele kwamba ni mfano wa kuigwa. Kumbe alikuwa kaficha tu makucha yake.
Hivi ni kweli ameshinikiza ama ni maneno tu ya watu!
Pengine Rais amemuona huyo mdogo wake anafaa,akaamua kumteua..
Ila wabongo[emoji23][emoji119][emoji119]
Kila kitu ni kulalamika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
IMG-20210524-WA0003.jpg
 
Hivi ni kweli ameshinikiza ama ni maneno tu ya watu!
Pengine Rais amemuona huyo mdogo wake anafaa,akaamua kumteua..
Ila wabongo[emoji23][emoji119][emoji119]
Kila kitu ni kulalamika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
wakilalamika wao ni sawa wakilalamika wengine inaonekana ni sukuma gang😂😂😂😂😂bongo raha sana
 
wakilalamika wao ni sawa wakilalamika wengine inaonekana ni sukuma gang[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bongo raha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi wananichekesha,tukimkosoa sisi hawataki kabisa,wwatatukana na kutuita sukuma gang..
Wakimkosoa wao ni sawa kabisa .

2025 sijui watahamia upande gani [emoji1787]
Maana sasahivi wanamsifia mama ili kumkomoa marehemu. .Sasa wakianza kampeni sijui wataenda na upepo gani.

😂😂😂😂😂huwa nawaona wajinga wajinga flani hivi. wanapenda freedom of speech iwe kwao tu
 
The Weeknd Cleans Up 2021 Billboard Music Awards With 10 Wins; Drake Honored With Artist Of The Decade Award
Brandon Choe
May 23, 2021 8:28PM PDT

The Weeknd tacked on three more awards during the 2021 Billboard Music Awards on NBC, giving him a total of 10 trophies this year.

At tonight’s ceremony the Canadian R&B singer won Top Artist, Top Hot 100 Artist, Top Hot 100 Song Presented by Rockstar, Top Male Artist, Top Radio Songs Artist, Top R&B Artist, Top R&B Male Artist, Top R&B Album, Top Radio Song and Top R&B Song. His career total now stands at 19 wins.

Drake was conferred the prestigious Artist of the Decade award by Billboard to commemorate his achievements. He holds onto the record for most Billboard Music Award wins of all time. The Canadian rap superstar was joined on stage by his son Adonis, his mother and father, and his closest friends to celebrate.
 
Back
Top Bottom