Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shukrani sana Mkuu 🙏🏾. Ni mtu poa sana huyo jamaa hata kule Twitter we follow each other. Pongezi anazopewa kule Twitter ni nyingi sana kutoka kwa wanaomfahamu nje ya Twitter na waliomfahamu kupitia Twitter. Ni uteuzi mzuri sana. Namtakia kila la heri kwenye wadhifa wake mkubwa.

huyo ni balozi mteuliwa (mtumishi wa mkwere)
ndio yule bwana togolani sijui tuvulani
atajua mwenyewe
 
Asante sana aisee...

Na mwandishi wake namfahamu. Ni profesa katika chuo kikuu cha Florida State na ameoa binti wa Paul Bomani.

Wabeja gete (Asante sana) [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
wow,
kumbe anaifahamu vilivyo Tanzania
ngoja nipitie hili chapisho lake japo kwa mwendo wa kobe
 
Shukrani sana Mkuu 🙏🏾. Ni mtu poa sana huyo jamaa hata kule Twitter we follow each other. Pongezi anazopewa kule Twitter ni nyingi sana kutoka kwa wanaomfahamu nje ya Twitter na waliomfahamu kupitia Twitter. Ni uteuzi mzuri sana. Namtakia kila la heri kwenye wadhifa wake mkubwa.
kila la kheri kwake
vipi ushawahi kugonga naye chai au hamjuani?
 
Kujichua (punyeto) hutajwa kuwa na faida kwa mwanaume hasa katika kuongeza ubora wa mbegu na kufanya uwezo wa kutunga mimba kuwa mkubwa zaidi.Kumbuka: Hakuna tafiti yoyote ya kisayansi iliyothibitisha kwamba kujichua kuna madhara
 
Our world is composed of givers and takers. The takers may eat better, but the givers sleep better. In death, as in life, Mwalimu (Nyerere) sleeps better. For his entire life was a life of giving, not taking". Benjamin William Mkapa, "My Life, My Purpose'.
 
Back
Top Bottom