Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

My dear sister, hauhitaji mpaka NDOA ndio uwe na furaha. Unaweza ukawa na furaha wewe kama wewe. Ndio, inatakiwa kufurahia maisha yako ya U-single, hauwezi kuishi maisha ya huzuni kisa haujaolewa bado, ni vibaya mno kuja kuolewa kutokana na internal au external pressure.
 
As long as wewe ni wife material, Haitajilisha ni muda kiasi gani, lazima utaolewa tu na utakuwa na NDOA ya furaha. Haitajalisha shetani na washirika wake wamepanga mipango gani mibaya kwako, destiny yako imeshaandikwa na mwenyezi Mungu hivyo lazima itimie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…