Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alisema zipo bandari bubu zipatazo 120 kwenye fukwe kadhaa nchini, akisema TASAC kama msimamizi wa shughuli za majini kwa kushirikiana na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wataanza kutoa vibali, leseni kwa bandari hizo, ili serikali ipate mapato.
 
"Bandari kavu zilipoanzishwa mwaka 2007/2008 na kutungiwa sheria mwaka 2016, ni baada ya msururu uliokuwapo bandarini. Pia ilikuwa kusaidia bandari kuu isisheheni mizigo kwa kuwa kuna shehena kubwa zinasubiri kuwasili kila siku," alisema Mlali.
 
Ofisa Mahusiano ya Jamii TASAC, Nicholaus Kinyariri, alisema shirika linatekeleza majukumu mbalimbali yakiwamo usimamizi na udhibiti huduma za bandari na usafiri wa meli, biashara pamoja na kusimamia maslahi ya bidhaa za kipekee ikiwamo chakula, madini, silaha.
 
Pia aliema ili kuimarisha ulinzi, mapato shirika hushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jeshi la Polisi-Kikosi cha Majini, Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Shirika la Kimataifa la shughuli za Majini (IMO).
 
Screenshot_2021-05-26 Fatma💙✨ on Twitter.png
 
Back
Top Bottom